Explore Lyon, Africans and more!

Simba wameshinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar na wamepewa point tatu baada ya kuibainika mchezaji wa kagera Sugar Mohammed Fakhi alicheza mechi ya Simba akiwa na kadi tatu za njano katika michezo dhidi ya Mbeya City Majimaji African Lyon hizo ndio mechi ambazo amepata kadi za njano

Man City ya mwinda Wilfred Zaha Mchezaji wa klabu ya Crystal Palace Wilfred Zaha yupo katika listi ya wachezaji wanaopewa kipaumbele katika usajili wa majira ya joto na Man City limeripoti The Sun. Pep Guardiola amevutiwa na uwezo wa mchezaji huyo na yupo tayari kushindana na Tottenham kuinasa saini yake.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ametangaza rasmi kuwa kiti kimoja cha ubunge Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi kufuatia Mbunge wa nafasi hiyo Sophia Simba kufukuzwa uanachama wa chama hicho. Kutokana na taarifa hiyo ambayo Spika wa Bunge amemjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nafasi hiyo inapaswa kujazwa ambapo kwa mujibu wa Ibara ya 67 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ili mtu ateuliwe au achaguliwe…

NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE. NAHODHA wa Simba Jonas Mkude amesema kuwa hasira za kupotez a mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar wanazitua kesho kutwa kwenye mchezo wao dhidi ya Mbao FC. Simba itakuwa mgeni wa MbaoFC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ukiwa ni mchezo wa pili wa timu hiyo kanda ya Ziwa. Akizungumza na gazeti hili jana muda mfupi kabla ya kuanza kwa mazoezi ya timu hiyo Mkude alisema kuwa imewauma sana kupoteza mchezo wao na kagera Sugar uliowapelekea kutolewa kwenye…

WAKATI Yanga wakimsubiria kiungo wao mchezeshaji Haruna Niyonzima atue nchini kwa ajili ya kumuongezea mkataba watani wao wa Simba wenyewe hawakauki Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ili wamsainishe. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zienee kuwa kiungo huyo anayemudu kucheza namba nane tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba. Kiungo huyo hivi sasa ni mchezaji huru anayeruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu nyingine kutokana na mkataba wake kumalizika…

Aliyekuwa mshambuliaji wa Azam FC John Bocco ambaye hivi karibuni amejiunga na Simba. TIMU ya Kagera Sugar juzi Jumatano ilifanya usajili wa wachezaji sita kwa mpigo akiwemo beki wa zamani wa Simba Ashanti United Coastal Union na Mbeya City Juma Nyosso lakini kuna habari mpya kuhusu beki huyo. Nyosso amejiunga na Kagera baada ya kumaliza adhabu yake ya miaka miwili ya kufungiwa kutojihusisha na soka baada ya kukutwa na kosa la udhalilishaji alilomfanyia aliyekuwa mshambuliaji wa Azam FC…

Hakimu Ataka Upelezi Wa Kesi Ya Viongozi Wa Simba Ukamilishwe Haraka

Full Time: Mpira umemalizika na Simba wanaibuka na ushindi wa bao 2-1 Dakika ya 90: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 2 za nyongeza. Dakika ya 87: Kasi ya mchezo imepungua. Dakika ya 83: Rajab Rashid anaingia kuchukua nafasi ya Aaron Lulambo Upande wa Stand. Dakika ya 80: Simba wanafanya shambulizi kali lakini mabeki wa Stand wanakuwa makini kuokoa Dakika ya 79: Abdi Banda wa Simba anaingia kuchukua nafasi ya Kichuya. Dakika ya 78: Simba wanaonekana kupoteza umakini katika nafasi…

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania waliobakia kwenye mashindano ya kimataifa Yanga leo wanatarajia kushuka ugenini kuwavaa wenyeji MC Alger katika mechi ya marudiano kuwania nafasi ya kucheza hatua ya makundi ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mechi hiyo kati ya MC Alger dhidi ya Yanga itafanyika kuanzia saa 4:00 usiku saa za hapa nyumbani na mabingwa hao watetezi wataingia uwanjani wakiwa mbele kwa bao 1-0 shukrani kwa kiungo Thabani Kamusoko aliyefunga bao hilo. Kocha Msaidizi wa…

SIMBA SC imewapa raha mashabiki wake wa Tabora baada ya kuilaza timu ya Daraja la Kwanza Rhino Rangers mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini humo. Mabao yote ya Simba yalipatikana kipindi cha pili la kwanza likifungwa na winga Shizza Ramadhani Kichuya kwa penalti na la pili likifungwa na mshambuliaji Mrundi Laudit Mavugo. Simba iliwasili Tabora kwa mchezo huo wa kirafiki ikitoka Kanda ya Ziwa Victoria ambako ilikwenda kucheza mechi zake za Ligi…

Pinterest
Search